Terms & Conditions / Vigezo na masharti
TERMS AND CONDITIONS
I acknowledge that I have read and understood the Privacy Policy and the Compensation Declaration. (hereinbelow)
I acknowledge that by submitting an application form to enter and participate in the Utu Kwanza Run race, I am aware of the potential risks including an accident, dehydration, or even death. I voluntarily agree to the causes of all these risks and consent to receive treatment for the risk of an accident or emergency.
I will abide by the rules and schedules of the Utu Kwanza Run, and I will abide by the instructions given by the race administrators and recognize that they have the right to accept or reject a request outside the race schedule or procedures.
I agree that the entry fee that I paid myself or anyone else entitles me to participate during the Utu Kwanza Run, and is a contribution to the community, so in any case, I will not ask for a refund.
Parent / Guardian’s Signature: Declaration for Children – If you are under 18 at the time of enrolling in the Utu Kwanza Run, this declaration must be approved and approved by your parent or guardian.
Vigezo na Masharti
Ninakubali kwamba nimesoma na kuelewa Sera ya Faragha na Azimio la Fidia.
Ninakubali kuwa kwa kuwasilisha fomu ya maombi ya kuingia na kushiriki mbio za Utu Kwanza Run, ninajua hatari zinazoweza kutokea zikiwamo kupata ajali, upungufu wa maji mwilini au hata kifo. Ninakubali kwa hiari sababu za hatari hizi zote na idhini ya kupata matibabu kwa hatari ya jali au dharura.
Nitatii sheria na ratiba za Utu Kwanza Run, na nitatii maagizo yaliyotolewa na wasimamizi wa mbio na kutambua kuwa wana haki ya kukubali au kukataa ombi nje ya ratiba au taratibu za mbio.
Ninakubali kuwa ada ya kuingia ambayo nmelipa mwenyewe au mtu mwingine yeyote inanipa haki ya kushiriki wakati wa Utu Kwanza Run, na ni mchango wa kusaidia jamii, hivyo kwa namna yoyote sitoomba kurejeshewa.
Saini ya mzazi/ mlezi: Azimio kwa watoto – Ikiwa uko chini ya miaka 18 wakati wa kujisajili katika Utu Kwanza Run, tamko hili lazima likubaliwe na kuidhinishwa na mzazi wako au mlezi.